KL170 : Dunda mpira kuelekea kwenye goli (kikapu) + Zungusha mwili kwa ndani uelekeo wa goli + Wrap around outside + malizia kwa layup
tafsiri: Bahati Mgunda
Bball-shorthand
Dunda mpira kwanza kwa
kuuzungusha ili ukurudie baada ya kudunda
Ruka na daka mpira, tua chini kwa miguu yote kwa pamoja
“kama Bata anavyotua” miguu iwe umbali sawa na upana wa kifua chako na miguu ikielekea upande lilipo goli
Piga hatua mbele kwa mguu mmoja kuelekea upande ulipo mguu mwingine
Dunda mpira kwakutumia mkono ulipo upande ambao unaelekea. Mpira udundwe kwa wakati mmoja na hatua inapopigwa, hii itasaidia kuulinda mpira.
Zungusha mwili kwa ndani uelekeo wa goli
mwili uzunguke nyuzi 270 kwa ndani
Wrap around outside
Wrap the ball around your waist on the side away from the basket (outside). Ball gets handed over behind the back from one hand to the other, arms outstretched
Piga hatua kuelekea kwenye goli
ukijitayarisha kwa ‘layup’ baada ya hatua mbili
malizia kwa layup
mpira ukiwa juu ya kiganja cha mkono huku ukilenga kona ya juu ya mchoro wa mraba juu ya goli.
sauti: Google Translator