KL159 : Get the ball passed with subsequent change in position + Zungusha mwili wako nyuzi 180 kupitia kwa nje + Kama mtindo wa MJ + Underhand layup on the anchor leg side
tafsiri: Bahati Mgunda
Bball-shorthand
Get the ball passed with subsequent change in position
Catch the ball with one hand during a lateral movement and prepare throw before groundcontact.
Ruka na daka mpira, tua chini kwa miguu yote kwa pamoja
“kama Bata anavyotua” miguu iwe umbali sawa na upana wa kifua chako na miguu ikielekea upande lilipo goli
Zungusha mwili wako nyuzi 180 kupitia kwa nje
Baada ya hapo zunguka tena nyuzi 180 kwa nje
Kama mtindo wa MJ
Simama ghafla wakati ukipiga hatua, dunda mpira mbele yako chini sana kurudi upande wa mguu uliobaki nyuma
step
push from behind
Underhand layup on the anchor leg side
Anchor leg and throwing arm are on the same side. Layup against backboard aiming for top corner of the square. Stretch your arm as much as possible upward.
sauti: Google Translator