KL152 : Delay + Dunda mpira kuelekea kwenye goli (kikapu) + Malizia kwa layup kiganja kikiwa juu ya mpira
tafsiri: Bahati Mgunda
Bball-shorthand
Dunda mpira kwanza kwa
kuuzungusha ili ukurudie baada ya kudunda
Ruka na daka mpira, tua chini kwa miguu yote kwa pamoja
“kama Bata anavyotua” miguu iwe umbali sawa na upana wa kifua chako na miguu ikielekea upande lilipo goli
Delay
Pause between moves in certain position to contrast with next move that is very fast.
Piga hatua mbele kwa mguu mmoja kuelekea upande ulipo mguu mwingine
Dunda mpira kwakutumia mkono ulipo upande ambao unaelekea. Mpira udundwe kwa wakati mmoja na hatua inapopigwa, hii itasaidia kuulinda mpira.
Piga hatua kuelekea kwenye goli
ukijitayarisha kwa ‘layup’ baada ya hatua mbili
Malizia kwa layup kiganja kikiwa juu ya mpira
malizia kwa mpira kugonga bodi ukilenga kwenye kona ya juu ya mraba.
sauti: Google Translator