Training - Individual practice

Choose Excercise

KL133 : Zuia mpira kwa mkono mmoja kisha pitisha nyuma ya mwili na upokee kwa mkono mwingine + Kwa nguvu na kasi zungusha mwili wako nyuzi 360 kupitia kwa + Delay + Kama mtindo wa MJ + Zungusha mwili kwa ndani uelekeo wa goli + MJ-Move through the legs + Zungusha mwili kwa ndani uelekeo wa goli + Malizia kwa layup kiganja kikiwa juu ya mpira

  1. Dunda mpira kwanza kwa
    kuuzungusha ili ukurudie baada ya kudunda
  2. Ruka na daka mpira, tua chini kwa miguu yote kwa pamoja
    “kama Bata anavyotua” miguu iwe umbali sawa na upana wa kifua chako na miguu ikielekea upande lilipo goli
  3. Zuia mpira kwa mkono mmoja kisha pitisha nyuma ya mwili na upokee kwa mkono mwingine
    hakikisha mkono umenyooka kabisa wakati wa kuzungusha na kupokea mpira.
  4. Kwa nguvu na kasi zungusha mwili wako nyuzi 360 kupitia kwa
    nyuma huku mguu wako mmoja ukiutumia kama mhimili
  5. Delay
    Pause between moves in certain position to contrast with next move that is very fast.
  6. Kama mtindo wa MJ
    Simama ghafla wakati ukipiga hatua, dunda mpira mbele yako chini sana kurudi upande wa mguu uliobaki nyuma
  7. Zungusha mwili kwa ndani uelekeo wa goli
    mwili uzunguke nyuzi 270 kwa ndani
  8. MJ-Move through the legs
    Abrupt change of direction, dribble the ball through the legs to the other hand deep down.
  9. Zungusha mwili kwa ndani uelekeo wa goli
    mwili uzunguke nyuzi 270 kwa ndani
  10. Malizia kwa layup kiganja kikiwa juu ya mpira
    malizia kwa mpira kugonga bodi ukilenga kwenye kona ya juu ya mraba.

tafsiri: Bahati Mgunda


Bball-shorthand

BballSteno_KL111

Bball-shorthand?



BasKidball


BasKidball


  • Dunda mpira kwanza kwa

  • kuuzungusha ili ukurudie baada ya kudunda

  • Ruka na daka mpira, tua chini kwa miguu yote kwa pamoja

  • “kama Bata anavyotua” miguu iwe umbali sawa na upana wa kifua chako na miguu ikielekea upande lilipo goli

  • Zuia mpira kwa mkono mmoja kisha pitisha nyuma ya mwili na upokee kwa mkono mwingine

  • hakikisha mkono umenyooka kabisa wakati wa kuzungusha na kupokea mpira.

  • Kwa nguvu na kasi zungusha mwili wako nyuzi 360 kupitia kwa

  • nyuma huku mguu wako mmoja ukiutumia kama mhimili

  • Delay

  • Pause between moves in certain position to contrast with next move that is very fast.

  • Kama mtindo wa MJ

  • Simama ghafla wakati ukipiga hatua, dunda mpira mbele yako chini sana kurudi upande wa mguu uliobaki nyuma

  • Zungusha mwili kwa ndani uelekeo wa goli

  • mwili uzunguke nyuzi 270 kwa ndani

  • MJ-Move through the legs

  • Abrupt change of direction, dribble the ball through the legs to the other hand deep down.

  • Zungusha mwili kwa ndani uelekeo wa goli

  • mwili uzunguke nyuzi 270 kwa ndani

  • Malizia kwa layup kiganja kikiwa juu ya mpira

  • malizia kwa mpira kugonga bodi ukilenga kwenye kona ya juu ya mraba.


sauti: Google Translator