Training - Individual practice

Choose Excercise

KL129 : Kwa nguvu na kasi zungusha mwili wako nyuzi 360 kupitia kwa + Mtindo wa kitaalamu + malizia kwa layup

  1. Dunda mpira kwanza kwa
    kuuzungusha ili ukurudie baada ya kudunda
  2. Ruka na daka mpira, tua chini kwa miguu yote kwa pamoja
    “kama Bata anavyotua” miguu iwe umbali sawa na upana wa kifua chako na miguu ikielekea upande lilipo goli
  3. Kwa nguvu na kasi zungusha mwili wako nyuzi 360 kupitia kwa
    nyuma huku mguu wako mmoja ukiutumia kama mhimili
  4. Mtindo wa kitaalamu
    Dunda mpira upande kwa mbele na pitisha mpira katikati ya miguu, uupokee kwa mikono yote upande mwingine
  5. Piga hatua kubwa
    Piga hatua kubwa ukijisukuma kwenda mbele kutumia mguu ulio baki chini
  6. malizia kwa layup
    mpira ukiwa juu ya kiganja cha mkono huku ukilenga kona ya juu ya mchoro wa mraba juu ya goli.

tafsiri: Bahati Mgunda


Bball-shorthand

BballSteno_KL111

Bball-shorthand?



BasKidball


  • Dunda mpira kwanza kwa

  • kuuzungusha ili ukurudie baada ya kudunda

  • Ruka na daka mpira, tua chini kwa miguu yote kwa pamoja

  • “kama Bata anavyotua” miguu iwe umbali sawa na upana wa kifua chako na miguu ikielekea upande lilipo goli

  • Kwa nguvu na kasi zungusha mwili wako nyuzi 360 kupitia kwa

  • nyuma huku mguu wako mmoja ukiutumia kama mhimili

  • Mtindo wa kitaalamu

  • Dunda mpira upande kwa mbele na pitisha mpira katikati ya miguu, uupokee kwa mikono yote upande mwingine

  • Piga hatua kubwa

  • Piga hatua kubwa ukijisukuma kwenda mbele kutumia mguu ulio baki chini

  • malizia kwa layup

  • mpira ukiwa juu ya kiganja cha mkono huku ukilenga kona ya juu ya mchoro wa mraba juu ya goli.


sauti: Google Translator