KL121 : Kwa nguvu na kasi zungusha mwili wako nyuzi 360 kupitia kwa + Zungusha mwili wako nyuzi 180 kupitia kwa nje + malizia kwa layup
tafsiri: Bahati Mgunda
Bball-shorthand
Dunda mpira kwanza kwa
kuuzungusha ili ukurudie baada ya kudunda
Ruka na daka mpira, tua chini kwa miguu yote kwa pamoja
“kama Bata anavyotua” miguu iwe umbali sawa na upana wa kifua chako na miguu ikielekea upande lilipo goli
Kwa nguvu na kasi zungusha mwili wako nyuzi 360 kupitia kwa
nyuma huku mguu wako mmoja ukiutumia kama mhimili
Zungusha mwili wako nyuzi 180 kupitia kwa nje
Baada ya hapo zunguka tena nyuzi 180 kwa nje
Kudunda kunakoendana na kupiga hatua kwa wakati mmoja
Hakikisha kunakuwa na sauti moja na vitendo kufanyika kwa pamoja yaani kudunda na kupiga hatua wakati huo pia mkono usiokua na mpira unalinda mpira
Piga hatua kuelekea kwenye goli
ukijitayarisha kwa ‘layup’ baada ya hatua mbili
malizia kwa layup
mpira ukiwa juu ya kiganja cha mkono huku ukilenga kona ya juu ya mchoro wa mraba juu ya goli.
sauti: Google Translator