Training - Individual practice

Choose Excercise

KL108 : Dunda mpira kuelekea kwenye goli (kikapu) + Zuia mpira kwa mkono mmoja kisha pitisha nyuma ya mwili na upokee kwa mkono mwingine + Zunguka nyuzi 360 + malizia kwa layup

  1. Dunda mpira kwanza kwa
    kuuzungusha ili ukurudie baada ya kudunda
  2. Ruka na daka mpira, tua chini kwa miguu yote kwa pamoja
    “kama Bata anavyotua” miguu iwe umbali sawa na upana wa kifua chako na miguu ikielekea upande lilipo goli
  3. Dunda mpira
    na wakati huohuo mguu uguse sakafu (kwa pamoja) ukipiga hatua kufanya mlio mmoja wa sauti ( yaani mlio wa mpira ukidunda na mlio wa mguu ukitua juu ya sakafu.
  4. Zuia mpira kwa mkono mmoja kisha pitisha nyuma ya mwili na upokee kwa mkono mwingine
    hakikisha mkono umenyooka kabisa wakati wa kuzungusha na kupokea mpira.
  5. Zunguka nyuzi 360
    ukiwa na mpira wakati ukipiga hatua mbili kabla ya kuruka na kufunga.
  6. malizia kwa layup
    mpira ukiwa juu ya kiganja cha mkono huku ukilenga kona ya juu ya mchoro wa mraba juu ya goli.

tafsiri: Bahati Mgunda


Bball-shorthand

BballSteno_KL111

Bball-shorthand?



BasKidball


BasKidball


  • Dunda mpira kwanza kwa

  • kuuzungusha ili ukurudie baada ya kudunda

  • Ruka na daka mpira, tua chini kwa miguu yote kwa pamoja

  • “kama Bata anavyotua” miguu iwe umbali sawa na upana wa kifua chako na miguu ikielekea upande lilipo goli

  • Dunda mpira

  • na wakati huohuo mguu uguse sakafu (kwa pamoja) ukipiga hatua kufanya mlio mmoja wa sauti ( yaani mlio wa mpira ukidunda na mlio wa mguu ukitua juu ya sakafu.

  • Zuia mpira kwa mkono mmoja kisha pitisha nyuma ya mwili na upokee kwa mkono mwingine

  • hakikisha mkono umenyooka kabisa wakati wa kuzungusha na kupokea mpira.

  • Zunguka nyuzi 360

  • ukiwa na mpira wakati ukipiga hatua mbili kabla ya kuruka na kufunga.

  • malizia kwa layup

  • mpira ukiwa juu ya kiganja cha mkono huku ukilenga kona ya juu ya mchoro wa mraba juu ya goli.


sauti: Google Translator