KL181 : swing dribble + one-handed + Malizia kwa layup kiganja kikiwa juu ya mpira
tafsiri: Bahati Mgunda
Bball-shorthand
swing dribble
one-handed
Lead the ball with only one hand to strengthen ball security.
Piga hatua mbele kwa mguu mmoja kuelekea upande ulipo mguu mwingine
Dunda mpira kwakutumia mkono ulipo upande ambao unaelekea. Mpira udundwe kwa wakati mmoja na hatua inapopigwa, hii itasaidia kuulinda mpira.
Piga hatua kuelekea kwenye goli
ukijitayarisha kwa ‘layup’ baada ya hatua mbili
overhand shot
one-handed shot, fingertips show away from the basket.
sauti: Google Translator